HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Hatua ya polisi kuwapiga risasi na kuwaua mifugo Laikipia yakashifiwa

Viongozi wa kisiasa kutoka jamii ya wafugaji imekashifu mauaji ya mifugo katika kaunti ya laikipia  na maafisa wa usalama.

Wakati huo huo, tume ya kitaifa ya uwiano na maridhiano, NCIC imeshutumu tukio hilo la maafisa wa usalama la kuwapiga risasi mifugo kiholela.

Show More

Related Articles