HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Wizara na Tume ya ardhi zaunda kamati kushughulikia unyakuzi wa ardhi

Wizara ya ardhi kwa ushirikiano na tume ya kitaifa ya ardhi zimebuni kamati ya pamoja itakayoangazia dhulma za kihistoria kuhusu ardhi.

Waziri Jacob Kaimenyi na mwenyekiti Dkt. Mohammed Swazuri wanasema kamati hiyo itakayoongozwa na Samuel Tororey na kushirikisha wanachama wa idara hizo mbili, itakua huru kuchunguza na kupendekeza hatua za kukabili dhulma hizo.

Wanasema kamati hiyo imeundwa kufuatia kuanza kutumika sheria kuhusu dhulma za kihistoria kuhusiana na ardhi za mwaka 2016.

Show More

Related Articles