HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Muungano wa NASA watangaza bidhaa, huduma na mikakati ya kujitenga

Wabunge kutoka muungano wa NASA wametoa orodha ya bidhaa kutoka kwa kampuni tatu, ambazo wanapendekeza wafuasi wake kuzisusia , kwa madai zimechangia kwa njia moja au nyingine kuandaliwa kwa kile wanachosema ni kashfa ya uchaguzi.

Miongoni mwa bidhaa hizo ni pamoja na huduma za kampuni ya Safaricom, kampuni ya Bidco na Brookside.

Haya yanajiri huku viongozi kutoka kaunti za Pwani wakiapa kushinikiza siasa za kujitenga huko Pwani, wakidai kunyanyaswa na serikali ya sasa na zile zilizotangulia.

Show More

Related Articles