HabariMilele FmSwahili

Viongozi kutoka Pwani waanzisha kampeni ya kujitenga na kenya

Viongozi kutoka Pwani wameanzisha kampeini ya kujitenga na Kenya. Magavana kutoka kaunti hiyo wanasema wataanzisha kampeini ya kuwahimiza wenyeji kuchangia mdahalo huo. Wakiongozwa na gavana Hassan Joho wa Mombasa na Amason Kingi wa Kilifi wanasema watatumia mbinu za kisheria kuhakikisha wanafaulu katika agenda hiyo. Tayari wamebuni kundi la kujadili kuhusu jinsi agenda hii itatekelezwa.

Show More

Related Articles