HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Rubani aliyefariki kwenye ajali ziwani Naivasha afanyiwa maombi

Misa ya wafu ya mwendazake rubani wa ndege ya helikopta iliyoanguka katika ziwa Nakuru Apollo Malowa imeandaliwa hii leo katika kanisa katoliki la Our Lady Of Peace ,lililoko katika mtaa wa South B Nairobi.
Rubani huyo pamoja na abiria wengine wanne walihusika ajali mwishoni mwa mwezi Oktoba .
Haya yanajiri huku miili ya abiria wengine wawili waliohusika kwenye ajali hiyo ikiwa bado inatafutwa.

Show More

Related Articles