HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Ukatili waendelea kushuhudiwa huku siku yao ikienziwa duniani

Leo ikiwa ni siku ya kukomesha dhulma dhidi ya wanahabari ulimwenguni, humu nchini wanahabari wangali wanakumbana na changamoto si haba katika kutekeleza majukumu yao.
Ni hivi majuzi tu ambapo wanahabari walivamiwa na wafuasi wa mrengo wa NASA hatua iliyozua hisia mseto.
Awali katika miaka ya themanini na tisini wanahabari wengi walipitia dhulma zinazokisiwa kutekelezwa na serikali.

Show More

Related Articles