HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Mtihani wa KCPE wakamilika kwa maombi na matumaini

Wanafunzi zaidi ya milioni 1.6 kote nchini hii leo walikamilisha mtihani wao wa kitaifa wa KCPE ulianza siku ya Jumanne,huku wakiwa wamejawa na furaha tele wanafunzi hao walikusanya virago vyao lao likibakia sasa kuyangoja matokeo yao yanayotarajiwa kutolewa hivi karibuni kama walivyoahidiwa na maafisa wa elimu huku wakisubiri kujiunga na shule za upili mwaka ujao.

Show More

Related Articles