HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Serikali, baraza la magavana na chama cha wauguzi waafikiana kurudi kazini

Hatimaye mgomo wa wauguzi umesitishwa baada ya miezi mitano.
Hii ni baada ya Waziri wa Afya, Baraza la Magavana na muungano wa wauguzi kuafikiana hii leo na wauguzi sasa wanatakiwa kurejea kazini hapo kesho, huku wakiahidiwa kuwa  huduma katika sekta ya afya itaimarishwa.

Show More

Related Articles