HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Mirengo ya Jubilee na NASA yapanga mikakati ndani ya nje ya bunge

Mchakato wa mazungumzo ya kitaifa unazidi kuvutia hisia mseto huku wakenya wakisubiri kuona iwapo viongozi wao watalegeza misimamo yao mikali na kuliweka taifa mbele pasi na kutoa matakwa yao ya kibinafsi.
NASA imesema kuwa itakuwa inasaka mwelekeo wa sauti ya wananchi kujitokeza na kupinga uongozi ambao imeutaja kuwa mbovu.
Aidha Jubilee kwa upande wake inatazamiwa kutumia mabunge yote mawili kutekeleza azma yao.
Anders Ihachi amezungumza na spika wa bunge la seneti Kenneth Lusaka na anasimulia zaidi mkondo ambao huenda ukajitokeza.

Show More

Related Articles