HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Mgomo wa wahadhiri waanza rasmi na kutatiza vyuo vikuu

Wahadhiri wa chuo kikuu cha Multimedia hii leo wameitikia wito wa chama cha kutetea maslahi ya wahadhiri wa vyuo vikuu nchini na kujiunga na mgomo ambao umeingia siku ya pili hii leo .
Onesmus Maluki ambaye ni katibu mkuu wa UASU chuoni humo amesema kuwa hafla ya mahafala ambayo ingefaa kufanyika shuleni humo haitafanyika iwapo serikali haitaheshimu mkataba wao wa makubaliano.

Show More

Related Articles