HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Wafanyikazi wa Kenya Airways wanaswa na madawa ya kulevya JKIA

Wafanyikazi wawili wa kampuni ya ndege ya Kenya Airways hii leo wamekamatwa na kuzuiliwa na polisi baada ya kupatikana na mihadarati ya dhamani ya shillingi milioni 150 dakika 15 kabla ya ndege waliokuwa wakisafiria kuondoka.
Wawili yasemekana walinuia kusafirisha dawa hizo hadi mji wa Benin na hivi sasa wamezuilwa katika kituo cha polisi kilichoko uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi

Show More

Related Articles