HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Maafisa wa afya wapanua eneo la uchunguzi hadi mpakani, Tanzania

Serikali imeanza shugli ya kuwagua wanaoingia nchini kutoka nchi jirani ya Uganda katika zoezi la kuhakikisha kuwa limedhibiti ugonjwa wa Marburg ambao ni sawia na Ebola huku wakitoa tahadhari kwa wote watakao tumia eneo la kuvuka kuingia nchini la Malaba.
Hata hivyo serikali imesisistiza kuwa hakuna yeyote ambaye ameripotiwa kuugua kutokana na ugonjwa huo nchini na hatua hiyo ni ya kujikinga licha ya mtu mmoja wa asili ya Uganda kuaga dunia
Daniel Kariuki anatuarifu kuhusu taarifa hii inayozidi kugonga vichwa vya habari

Show More

Related Articles