HabariMilele FmSwahili

Waziri Keter: Serikali itasimamia mazishi ya marehemu askofu Cornelius Korir

Serikali itasimamia mazishi ya aliyekuwa askofu wa kanisa katoliki Cornelius Korir. Haya yamesemawa na waziri wa kawi Charles Keter katika misa ya wa wafu kwa ajili ya mwendazake, iliyoongozwa na askofu mkuu wa jimbo ya Nyeri John Muheria. Keter aliyeandamana na gavana Jackson Mandago na wabunge wengine kutoka bonde la ufa wamemsifia Korir kwa juhudi zake za upatanishi. Rais Uhuru Kenyatta na naibu wake ni viongozo watakaohudhuria mazishi ya Korir jumamosi ya tarehe 11 kwenye kanisa hilo.

Show More

Related Articles