HabariMilele FmSwahili

Wafanyikazi 2 wa Kenya Airways wazuiliwa baada ya kupatikana na mihadarati

Polisi hapa jijini Nairobi wanawazuilia wafanyikazi wawili wa kampuni ya Kenya Airways baada ya kuwanasa wakiwa na bidhaa zinazoshukiwa kuwa mihadarati. Wawili hao wamekamatwa katika uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta dakika 15 kabla ya kuabiri ndege iliyokuwa jijini Cotonou nchini Benin.

Show More

Related Articles