HabariMilele FmSwahili

ELOG: Ni vigumu kubaini iwapo marudio ya uchaguzi yalikua huru na ya kuaminika

Ni vigumu kubaini iwapo uchaguzi wa marudio wa urais ulikuwa huru na wa kuaminika. Ndio kauli ya waangalizi wa uchaguzi wa ELOG likidai kukosekana mawakala wa baadhi ya vyama  na waangalizi kuathiri matokeo ya uchaguzi huo. Aidha limekosoa kuahirishwa uchaguzi katika kaunti 4 kulikoshuhudiwa vurugu. Wakati huo Opondo amemtaka mkurugenzi wa mashtaka ya umma Keriako Tobiko kuwafungulia mashtaka wahusika wa mauaji ya waandamanaji katika maeneo mbali mbali.

Show More

Related Articles