HabariMilele FmSwahili

NASA yatetea hatua yake kutopinga uchaguzi wa marudio wa urais mahakamani

Muungano wa NASA umetetea hatua yake kutochagua kupinga mahakamani ushindi wa rais Uhuru Kenyatta katika uchaguzi wa marudio wa urais. Afisa mkuu wa NASA Norman Magaya amedai kuwa kufuatia vitisho kwa idara ya mahakama kutoka serikali ya Jubilee hakuna haja ya kutafuta haki mahakamani. Magaya pia ametetea tangazo la kinara Raila Odinga kutangaza mpango wa kutatiza utendakazi wa Jubilee akisema hajakiuka katiba.

Show More

Related Articles