HabariMilele FmSwahili

Wahadhiri wa vyuo vikuu kugoma

Wahadhiri wa vyuo vikuu wanatarajiwa kugoma kuanzia leo kushinikiza serikali kuwapa nyongeza ya mishahara na marupu. Kulingana katibu mkuu wa chama cha wahadhiri wa vyuo vikuu vya umma Constatine Wasonga wahadhiri watasusia kazi hadi matakwao yao yatekelezwe. Wahadhiri hao wameratibiwa kukongamana katika chuo kikuu cha Nairobi kupanga mikakati ya kufanikishya mgomo huo.

Show More

Related Articles