HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Mkaazi wa Baringo aliyetambulika kwa mnada wa kuku

Kawaida wengi wamezoa mnada wa mifugo ambapo utampata jamaa amejizatiti kuuza ngombe au mbuzi katika .
Lakini katika kijiji cha kiling’ot eneo bunge la Baringo kusini, kuna mnada wa kuku.
Kutana na Silai Kandie, jamaa ambaye amefahamika sana eneo hili kwa kunadi kuku kwenye soko la kiling’oti na kujipa rizki yake.

Show More

Related Articles