HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Hali ya wasiwasi yatanda kwenye mpaka wa Kisumu na Kericho

Hali ya taharuki imetanda katika barabara kuu ya Kericho kulelekea Kisumu, baada ya wenye matatu katika eneo hilo kufanya maandamano hii leo na kufunga barabra katika eneo la Parkmar.
Aidha wamiliki matatu walilalamikia kuhabiribiwa kwa magari yao na vijana wanaodaiwa kuwa wafuasi wa muungano wa NASA.
Inasemekana kuwa magari hayo yalivamiwa saa chache baada ya rais Uhuru Kenyatta kutangazwa kama mshindi wa uchaguzi wa marudio.

Show More

Related Articles