HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Zaidi ya watahiniwa milioni 1 nchini waanza mtihani wa KCPE

Wanafunzi zaidi ya milioni1.6 wameanza mtihani wao wa darasa la nane wa KCPE mapema hii leo katika kaunti zote 47 ,waziri wa elimu na kaimu waziri wa usalama dakta Fred Matiang’i amewahakikishia wanafunzi wote usalama wao haswa msimu huu wanapoanza mtihani wao wa kitaifa.
Waziri aliyasema hayo alipokuwa katika ziara yake katika kaunti ya Makueni alipokua anafanya ukaguzi wa mtihani huu.
Wanafunzi walitangulia na somo la hesabu na kufuatiwa na somo la kiingereza mchana huku mtihani huu ukitarajiwa kukamilika siku ya alhamisi na somo la jiografia.

Show More

Related Articles