HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Wahuni wawashambulia wanahabari 2 wa Citizen na NTV

Kundi la wanahabari walivamiwa na wafuasi wa NASA kwenye mkutano uliondaliwa na viongozi wa NASA katika makao makuu ya chama cha Wiper Nairobi leo mchana.
Mwanahabari wa runinga ya Citizen Francis Gachuri na mpiga picha wa runinga ya NTV Jane Gatwiri walishambuliwa mbele ya kamera huku wafuasi hao wakiwageukia wanahabari wengine waliokuwa wakipiga picha na kuwafurusha kutoka kwa mkutano huo wakidai wanahabari hao wamekua wakitoa habari potovu kuhusu nasa na kwamba ni vibaraka wa mrengo wa Jubilee.

Show More

Related Articles