HabariPilipili FmPilipili FM News

Rais Uhuru na naibu wake Ruto Wachapiswa Rasmi Kwenye Gazeti La Selikali Kama Washindi Wa Uchaguzi.

Tume ya IEBC imechapisha rasmi katika gazeti la serikali majina ya rais Uhuru Kenyatta na naibu wake William Ruto kuwa washindi wa uchaguzi wa marudio wa urais.
Mwenyekiti wa IEBC Wafula Chebukati amesema amechukua hatua hiyo kwa mujibu wa katiba na sheria za uchaguzi.

Show More

Related Articles