HabariMilele FmSwahili

Mahakama kuu yaagiza kulipwa milioni 28 kama fidia kwa wahanga 7 wa dhulma katika jumba la Nyayo

Yakijiri hayo mahakama kuu imeagiza kulipwa shilingi milioni 28 kama fidia wahanga saba wa dhulma katika jumba la Nyayo. Miongoni mwa wanaofaa kupokea malipo hayo kutoka serikali ni wajomba wawili wa mwanasiasa Koigi wa Wamwere. Mahakama pia imeagiza kulipwa fidia mmoja wa walinzi wa zamani wa mwanasiasa mkongwe Kenneth Matiba.

Show More

Related Articles