HabariMilele FmSwahili

Kampuni ya matangazo ya Transcend Media yaishtaki IEBC

Kampuni ya matangazo ya Transcend Media imeishtaki tume ya IEBC ikitakiwa kulipwa shilingi milioni 150 kwa huduma ilizotoa kwa tume hiyo. Kampuni hiyo inasema fedha hizo zilifaa kugharamia huduma ya matangazo yaliochapishwa kwenye vyombo mbalimbali vya habari kuwarai wapiga kura kushiriki uchaguzi mwaka 2013. Aidha kampuni hiyo inataka kuadhibiwa afisa mkuu mtendaji Ezra Chiloba kwa kukosa kufanikisha malipo hayo.

Show More

Related Articles