HabariPilipili FmPilipili FM News

Usalama Waimarishwa Nchini Kwa Ajili Ya KCPE.

Usalama umeimarishwa kote nchini wanafunzi zaidi ya milioni 1 wa darasa la nane wakifanya mtihani wao wa KCPE.

Waziri wa elimu Dkt Fred Matiangi amesema usalama utaimarishwa hasa maeneo yanayoshuhudia vurugu za kisiasa kuwawezesha wanafunzi kufanya mitihani yao bila vikwazo.

Aidha amesema serikali inachukulia kwa uzito kila hatua inayohitajika kuhakikisha mitihani ya KCPE na KCSE inaendelea bila tatizo.

Show More

Related Articles