HabariMilele FmSwahili

Marehemu Askofu Korir kuzikwa Jumamosi 11 katika kanisa katoliki jimbo la Eldoret

Maandalizi ya mazishi ya marehemu askofu Cornelius Korir yamekamilika. Kanisa katoliki la Eldoret limedhibitisha kuwa mwendazake atazikwa Jumamosi tarehe 11 katika kanisa katoliki jimbo la Eldoret. Askofu Korir alifariki jana akiwa na miaka 67 akipokea matibabu katika hospitali ya rufaa ya Moi mjini Eldoret.

Show More

Related Articles