HabariMilele FmSwahili

IEBC yachapisha rasmi ushindi wa Uhuru na naibu wake Ruto kwenye gazeti la kitaifa

Tume ya IEBC imechapisha rasmi katika gazeti la kitaifa majina ya rais Uhuru Kenyatta na naibu wake William Ruto kuwa washindi wa uchaguzi wa marudio wa urais. Mwenyekiti wa IEBC Wafula Chebukati amesema amechukua hatua hiyo kwa mujibu wa katiba na  sheria za uchaguzi.

Show More

Related Articles