Muungano wa NASA unatarajiwa kutangaza mwelekeo wake wa kisiasa hii leo. Kinara wa NASA Raila Odinga aliwaahidi wafuasi wake kwamba atawaelezea hatua wanazopania kuchukua baada ya kususia uchaguzi wa urais ulioandaliwa wiki jana. Inasubiriwa kuona ni hatua gani Raila atachukua baada ya kusema hawatambui ushindi wa rais Uhuru Kenyatta. Tayari Raila ametangaza kubadili muungano wa NASA kuwa vuguvugu la upinzani.
Related Articles
Check Also
Close-
Onyo La Baraza La Magavana Kwa Wauguzi.
February 15, 2019 -
Mwatha Alifariki Kutokana Nakuvuja Damu Nyingi Asema Mwanapatholojia.
February 15, 2019