HabariMilele FmSwahili

Ruto ashauri upinzani kuelekea mahakamani wasiporidhishwa na matokeo ya uchaguzi

Naibu rais William Ruto anaushauri upinzani kuelekea mahakamani iwapo hawatoridhishwa na matokeo ya uchaguzi. Katika mahojiano na shirika la habari la BBC na SABC la Afrika kusini, Ruto anasema taifa halitoshiriki marudio ya uchaguzi wa urais baada ya siku 90 . Ruto kadhalika anasema katiba inafaa kuzingatiwa na kila mmoja wakiwemo viongozi wa upinzani wanaoshinikiza uchaguzi upya.

Show More

Related Articles