HabariMilele FmSwahili

Askofu wa katoliki Cornelius Koris afariki

Askofu wa jimbo Katoliki la Eldoret Cornelius Korir amefariki dunia. Askofu Korir mwenye miaka 67 amefariki akipokea matibabu katika Hospitali ya rufaa ya Moi mjini Eldoret mapema leo. Atakumbukwa kwa mchango wake mkubwa katika kuhubiri amani eneo la Rift Valley baada ya ghasia za kisiasa.

Show More

Related Articles