HabariMilele FmSwahili

Mbunge Alice Wahome kuandikisha taarifa kwa polisi leo

Mbunge wa Kandara Alice Wahome anatarajiwa kuandikisha taarifa na polisi kwa madai ya kumvamia ofisa msimamizi wa uchaguzi eneo bunge hilo. Wahome ametakiwa kuandikisha taarifa katika ofisi ya jinai eneo hilo kufuatia agizo la mkurugenzi wa mashitaka ya umma. Ofisa huyo Martin Malonza tayari ameandikisha taaifa katika kituo cha polisi cha Kandara.

Show More

Related Articles