HabariPilipili FmPilipili FM News

Mtaa Wa Kawangware Wa Teketea

Mali ya mamilioni ya pesa Imeteketea katika eneo la Kongo- Kawangware jijini Nairobi baada ya magenge ya watu kochoma Maduka na nyumba za wakaazi wa eneo hilo usiku wa Kuamkia leo.
Kulingana na wakaazi wa eneo hilo,wanadai magenge ya wahalifu walifika katia eneo hilo wakiandamana na mwanasiasa mmoja na baadae wakawasha moto nyumba na Maduka.

Show More

Related Articles