HabariPilipili FmPilipili FM News

Viongozi Wa jubilee Pwani Wataka Ushindi Wa Rais Uhuru Kenyatta Kutangazwa Rasmi

Viongozi wa chama cha Jubilee , Ukanda wa pwani wakiongozwa na waziri wa utalii Najib Balala, Gavana wa kwale  Salim Mvurya na aliyegombea kiti cha Ugavana kaunti ya kilifi kupitia cha Jubilee ,Gideon Mung’aro ,wametaka tumeya  IEBC  kumtangaza Rais Uhuru Kenyatta kama Mshindi kwa kujizolea takriban  kura milioni 7 zilizopigwa.

Balala    amesema kura alizopata Raisi Kenyatta ni dhihirisho tosha   la ushindi wake na kuwataka wakenya kujenga Udungu

Kwa upande wake Gavana wa kwale Salim Mvurya na,Gideon Mung’aro wamehimiza jamii ya pwani kuzingatia uwiano

Show More

Related Articles