HabariMilele FmSwahili

Polisi 2 wauwawa eneo la Matopeni na watu wasiojulikana

Polisi 2 wanaohudumu katika kituo cha  polisi cha Kayole wameuwawa kwa kupigwa risasi katika eneo la Matopeni na kundi la watu wasiojulikana. Washukiwa wametoweka na bastola 2 kutoka kwao.

Show More

Related Articles