HabariMilele FmSwahili

Sang aitaka IEBC kumtangaza Uhuru kama mshindi wa urais

Gavana wa Nandi Stephen Sang  ameitaka tume ya IEBC kumtangaza rais Uhuru Kenyatta kama mshindi wa urais bila  kuzingatia kura kutoka  baadhi ya kaunti ambazo imekuwa vigumu kuendesha zoezi la upigaji kura. Akiongea mjini Eldoret Sang anasema tume hiyo ina mamlaka kikatiba kufanya uamuzi huo  na kusema tayari rais Uhuru Kenyatta anayeongoza kwa idadi ya kura zilizopigwa amefikisha vigezo vya kikatiba vinavyohitajika.

Show More

Related Articles