HabariPilipili FmPilipili FM News

Shughli ya Kuhesabu Kura ya Sitishwa Kwa muda Kisauni

Shughuli ya kuhesabu kura katika eneo bunge la kisauni limesimama kwa muda wa saa tano, baada ya afisa aliyesimamia uchaguzi kisauni kuingia mitini usiku wa kuamkia leo.
Hali hiyo ilimlazimu naibu kamishna wa kisauni JOSEPH MAINA kuanzisha oparesheni ya kumsaka afisa huyo kabla ya  kumpata nyumbani kwake akiwa amelala.

Show More

Related Articles