HabariMilele FmSwahili

Maafisa waliosimamia kura wawasili katika kituo cha Bomas

Maafisa waliosimamia uchaguzi wa marudio katika kaunti zote 47 wameanza kuwasili katika kituo kikuu cha kujumulisha kura cha Bomas. Maafisa hao wanatarajiwa kuwasilisha fomu zenye matokeo ya uchaguzi walizotuma kwa mfumo wa kielektroniki. Kulingana na mwenyekiti Wafula chebutaki fomu 34A na 34B tayari zimetumwa katika kituo cha Bomas. Chebukati amesema ukaguzi wa fomu hizo unaendelea kabla ya matokeo rasmi ya urais kutangazwa.

Show More

Related Articles