HabariMilele FmSwahili

Hali ya utilivu yarejea katika mji wa Kisumu

Hali ya utulivu imerejea katika mji wa Kisumu siku moja baada ya makabiliano kushuhudiwa baina ya polisi na waandamanaji waliopinga kuandaliwa uchaguzi wa marudio ya urais. Shughuli za uchukuzi na biashara zimerejelea hali ya kawaida. Katika kaunti ya Homabay Migori na Siaya baadhi ya wakazi wamepinga kuandaliwa marudio ya uchaguzi  huo kesho kwa misingi utawanyima fursa ya kuabudu.

 

Show More

Related Articles