HabariMilele FmSwahili

Matokeo rasmi ya kura kaunti ya kisii kutangazwa saa sita mchana

Matokeo rasmi ya upigaji kura katika maeneo bunge 9 kaunti ya Kisii yanatarajiwa kutangazwa ifikiapo saa sita mchana wa leo. Wasimamizi wa kura katika kaunti hiyo wametaja changamoto mbali mbali ikiwemo hali ya hewa kama zilizochangia hali hiyo.

Show More

Related Articles