HabariMilele FmSwahili

Msimamizi wa uchaguzi kaunti ya Kilifi azuiliwa kwa kukiuka sheria za uchaguzi

Ofisa msimamizi wa uchaguzi katika eneo la Magari kaunti ya Kilifi anazuiliwa kwa tuhuma za kukiuka sheria za uchaguzi. Inaarifiwa msimamizi huyo aliacha masanduku ya kura katika kituo cha kujumulisha matokeo cha chuo cha Mapimo na kutoweka. aidha anaarifiwa kuzima simu yake kabla ya kutoweka.

Show More

Related Articles