HabariMilele FmSwahili

Matokeo ya marudio ya Urais yazidi kuhesabiwa na Rais Kenyatta azidi kuongoza

Matokeo ya hivi punde ya kura ya marudio ya urais yamweka kifua mbele Rais Uhuru Kenyatta akifuatwa na Raila Odinga kwa mujibu wa matokeo yaliyowekwa wazi kufikia sasa na tume ya IEBC rais Kenyatta anaongoza kwa kura 2,082,291 na Raila Odinga ni wa pili na kura 24,839

Show More

Related Articles