HabariPilipili FmPilipili FM News

Vitisho Kwa Wapiga Kura Za Changia Watu Wachache Kujitokeza Likoni

Aliyekua mbunge wa likoni masoud mwahima amekiri vitisho kwa wapiga kura eneo hilo ni miongoni mwa changizo zilizofanya waananchi kutojitokeza kwa wingi kupiga kura.
Akizungumza mda mfupi baada ya zoezi la kutangaza matukio ya uchaguzi wa eneo hilo kukamilika,Mwahima amesema idadi ilijitokeza siyo aliyotarajia kumpigia rais uhuru muigai Kenyatta.

Awali mbunge wa sasa wa eneo hilo Mishi Mboko alipinga madai hayo pamoja na visa vya vijana kuzuia wengine kupiga kupiga kura hasa katika eneo la Soweto huko likoni.

Show More

Related Articles