HabariPilipili FmPilipili FM News

Anyang’ Nyong’o: Uchaguzi Hautarudiwa Kisumu

Gavana wa kaunti ya Kisumu, magharibi mwa Kenya, amesema uchaguzi hauta rudiwa katika jimbo hilo kama alivyotangaza mwenyekiti wa tume ya uchaguzi IEBC Wafula Chebukati Jumamosi.
Prof Anyang’a Nyong’o amesema kaunti hiyo itafanya maombolezi ya wiki moja kwa heshima ya watu wawili waliouawa leo.
Amesema iwapo tume ya IEBC itasisitiza uchaguzi ufanyike, basi watalazimika kwenda mahakamani kutaka uchaguzi huo urudiwe.
Kauli sawia na hiyo imetolewa na Mbunge wa Suna Mashariki , Junet Mohamed.

Show More

Related Articles