HabariPilipili FmPilipili FM News

Shughli Ya Kuhesabu Kura Yaendelea Katika Kaunti Ya Kilifi

Shughuli ya kuhesabu  kura katika vituo mbali mbali vya kujumuisha matokeo katika kaunti ya kilifi inaendelea kwa sasa ,huku idadi ya wapiga kura waliojitokeza kushiriki uchaguzi wa marudio ikitajwa kuwa ya Chini katika  kaunti hiyo ambayo inaamnika kuwa ngome ya upinzani.

Hali ya usalama imeimarishwa ili kuhakikisha zoezi hilo linaendesheshwa bila wasi wasi.

 

Show More

Related Articles