Pilipili FmPilipili FM News

Wa Bunge Wa Chama Cha Jubilee Wa Pongeza IEBC

Viongozi wa chama cha jubilee wakiongozwa na  kiongozi wa wengi katika bunge la seneti Kipchumba Murkomen wamepongeza tume ya Iebc  kwa  kufanikisha uchaguzi wa leo huku  akikashifu wafuasi  wa mrengo wa NASA kwa   kutatiza  uchaguzi  haswa  katika maeneo   ya Siaya ,Homabay, Migori na Kisumu.

Aidha, Murkomen amesema kuwa awamu ya pili ya shughuli ya uchaguzi wa marudio itaendelea licha ya shughuli hiyo kuvurugwa katika maeneo ambayo yana aminika kuwa ngome ya muungano wa Nasa.

Show More

Related Articles