HabariPilipili FmPilipili FM News

IEBC Ya Hairisha Uchaguzi katika Kaunti Nne Nchini

Tume ya IEBC imeahirisha uchaguzi katika kaunti nne nchini kufuatia changamoto za kiusalama.
Kaunti hizo ni Kisumu, migori, Siaya na Homabay ambapo uchaguzi mpya utaandaliwa jumamosi tarehe 28 mwezi huu.
Mwenyekiti wa IEBC Wafula Chebukati amesema inspekta generali wa polisi Joseph Boinet anashughulikia masuala ya usalama katika maeneo hayo

Show More

Related Articles