HabariMilele FmSwahili

Zaidi ya wafungwa 200 wapiga kura katika gereza la Naivasha

Zaidi ya wafungwa 200 wamepiga kura katika gereza la Naivasha. Wafungwa hao baadhi ambao wanatumikia vifungo vya maisha wawamelezea kuridhishwa na hatua hiyo wakisema itabadili maisha yao. Aidha wameitaka IEBC kuhakikisha hitilafu zilizokumba uchaguzi wa Agosti nane hazirejelewi. Kwengineko wafungwa 85 wamepiga kura katika gereza la Muranga. Wafungwa 16 pia wameweza kupiga kura yao katika gereza kuu la Makueni.

Show More

Related Articles