HabariMilele FmSwahili

Treni ya kubeda abiria kuwa na safari mbili kwa siku kuanzia tarehe 1 Novemba

Treni ya kubeba abiria itakuwa na safari mbili kwa siku kuanzia Novemba Mosi. Shirika la reli nchini linasema wameafikai kuzindia safari za Mombasa na Nairobi saa 3.30 jioni. Mbali na sasa ambapo safari hizo ni saa mbili asubuhi pekee. Meneja wa shirika hilo A.K. Maina anasema wanalenga kuimairsha huduma za usafiri kwa wateja wao ili kuwawezesha kusafiri salama. Treni zitakuwa zinasimama vituo mbalimbali kama kawaida.

Show More

Related Articles