HabariMilele FmPeople DailySwahili

Huenda IEBC ikaahirisha uchaguzi katika maeneo yaliyokumbwa na ghasia

Huenda IEBC ikaahirisha uchaguzi katika baadhi ya maeneo ambako kumekumbwa na ghasia. Rais Uhuru Kenyatta anasema atashiriki mkao wa kufahamishwa mikakati iliyowekwa na IEBC baada ya kubainika kuna kaunti ambazo hazijashiriki uchaguzi huo. Aidha rais anasema kila afisa wa IEBC anayefaa kusimamia zoezi hili atalindwa kikamilifu licha ya kuwepo hofu ya mashambulizi haswa katika ngome za NASA kauli yake ikiwadia baada ya IEBC kusema itaongeza muda wa kupiga kura katika vituo vilivyoanza zoezi hilo kuchelewa.

Show More

Related Articles