HabariPilipili FmPilipili FM News

Polisi Wazidi Kukabiliana Na Waandamanaji

Inspekta jenerali wa polisi nchini Joseph Boinet amekanusha vikali madai yanayoenezwa kuwa kuna baadhi ya watu wanaotumia magwanda ya polisi kutekeleza majukumu ya polisi nchini.

Akiongea baada ya kupiga kura yake katika shule ya msingi ya madaraka jijini Nairobi Boinet amesema polisi wanaokabiliana na vijana wanaojaribu kuzuia upigaji kura katika maeneo ya Nyanza na Nairobi ni maafisa halali wa polisi huku akisema hali ya suitofahamu katika maeneo yaliona waandamanaji inaendelea kuthibitiwa na walinda usalama.

Show More

Related Articles